forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
453 B
Markdown
16 lines
453 B
Markdown
# Vifungo.
|
|
|
|
Hiki ni kitu kinachomfunga mtu asitembee au kwenda kwa uhuru.
|
|
|
|
# Kisha akawatuma.
|
|
|
|
Yeremia ilikuwa atume jozi za vifungo na nira kwa kila mfalme aliyetajwa.
|
|
|
|
# Kwa mkono wa wajumbe hao wa wafalme.
|
|
|
|
Hapa "mkono" unasimama kuonesha uwakilishi wa hawa wajumbe.
|
|
|
|
# Toa ammri kwao kwa ajili ya mabwana zao.
|
|
|
|
Yeremia alikjuwa ameelekezwa kutoa jozi za vifungo na nira kwa kila mjumbe na ujumbe ujumbe kwa kila mfalme bila kujali vifungo na nira.
|