sw_tn/jer/27/01.md

453 B

Vifungo.

Hiki ni kitu kinachomfunga mtu asitembee au kwenda kwa uhuru.

Kisha akawatuma.

Yeremia ilikuwa atume jozi za vifungo na nira kwa kila mfalme aliyetajwa.

Kwa mkono wa wajumbe hao wa wafalme.

Hapa "mkono" unasimama kuonesha uwakilishi wa hawa wajumbe.

Toa ammri kwao kwa ajili ya mabwana zao.

Yeremia alikjuwa ameelekezwa kutoa jozi za vifungo na nira kwa kila mjumbe na ujumbe ujumbe kwa kila mfalme bila kujali vifungo na nira.