sw_tn/jer/26/01.md

273 B

Miji ya Yuda.

"Watu kutoka miji ya Yuda."

Usipunguze neno lolote!

"Usiache kufanya kitu chochote nilichokuambia!"

Ili kwamba nighairi majanga ninayotaka kuyafanya.

Haya ni maelekezo yenye masharti. Kama Yuda watatubu, basi Mungu hatawaangamiza, bali atawaponya.