# Miji ya Yuda. "Watu kutoka miji ya Yuda." # Usipunguze neno lolote! "Usiache kufanya kitu chochote nilichokuambia!" # Ili kwamba nighairi majanga ninayotaka kuyafanya. Haya ni maelekezo yenye masharti. Kama Yuda watatubu, basi Mungu hatawaangamiza, bali atawaponya.