sw_tn/jer/25/34.md

24 lines
469 B
Markdown

# Wachungaji
Hii ni kumbukumbu kwa viongozi wa Israeli.
# Gaagaa katika ardhi
Hii ni ishara ya huzuni, maombolezo au dhiki.
# Suku yako
Kwa muda wako" au "wakati wa wewe"
# Utaanguka kama kondoo waliochaguliwa.
"Wewe utaangamizwa kwa urahisi"
# Mtumwa wa wachungaji waliokwenda
Hakutakuwa na nafasi ya kujificha ili kuepuka hukumu hii au uharibifu.
# Yahweh anayaharibu malisho yao
Hukumu ya Mungu ni juu ya viongozi wote na watu, hakuna mtu atakayeokolewa.