sw_tn/jer/25/34.md

469 B

Wachungaji

Hii ni kumbukumbu kwa viongozi wa Israeli.

Gaagaa katika ardhi

Hii ni ishara ya huzuni, maombolezo au dhiki.

Suku yako

Kwa muda wako" au "wakati wa wewe"

Utaanguka kama kondoo waliochaguliwa.

"Wewe utaangamizwa kwa urahisi"

Mtumwa wa wachungaji waliokwenda

Hakutakuwa na nafasi ya kujificha ili kuepuka hukumu hii au uharibifu.

Yahweh anayaharibu malisho yao

Hukumu ya Mungu ni juu ya viongozi wote na watu, hakuna mtu atakayeokolewa.