sw_tn/jer/25/17.md

443 B

Taarifa za jumla

Kifungu hiki kinaendelea mfano wa hasira ya Bwana kama kinywaji kumwagika.

nikawanywesha mataifa yote ambayo Bwana alinituma

Kazi ya kunywa kutoka kikombe cha divai ilikuwa mfano wa hukumu ya Mungu.

kuwafanya kuwa ukiwa na kitu cha kutisha

"kuwaangamiza"

cha kuzomewa na laana

"kupuuzwa au kulaaniwa"

kama ilivyo hata leo

Kulikuwa na kipindi cha muda kati ya wakati hii imeandikwa na wakati ilitokea kweli.