sw_tn/jer/25/17.md

20 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Kifungu hiki kinaendelea mfano wa hasira ya Bwana kama kinywaji kumwagika.
# nikawanywesha mataifa yote ambayo Bwana alinituma
Kazi ya kunywa kutoka kikombe cha divai ilikuwa mfano wa hukumu ya Mungu.
# kuwafanya kuwa ukiwa na kitu cha kutisha
"kuwaangamiza"
# cha kuzomewa na laana
"kupuuzwa au kulaaniwa"
# kama ilivyo hata leo
Kulikuwa na kipindi cha muda kati ya wakati hii imeandikwa na wakati ilitokea kweli.