sw_tn/jer/25/12.md

16 lines
474 B
Markdown

# imekamilika
"wakati adhabu yao iko kamili"
# kuifanya kuwa ukiwa milele
Mungu ameahidi kuigeuza Babiloni kuwa jangwa kama jangwa.
# Nitawalipa kwa matendo yao na kazi za mikono yao
Mungu atawafanya wapate adhabu sawa na waliyoifanya juu ya mataifa waliyoyashinda.
# matendo yao na kazi za mikono yao
Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kuwa Yahweh inazungumzia kila kitu ambacho wamefanya kwa mataifa mengine. AT "kila kitu ambacho wamefanya."