sw_tn/jer/25/12.md

474 B

imekamilika

"wakati adhabu yao iko kamili"

kuifanya kuwa ukiwa milele

Mungu ameahidi kuigeuza Babiloni kuwa jangwa kama jangwa.

Nitawalipa kwa matendo yao na kazi za mikono yao

Mungu atawafanya wapate adhabu sawa na waliyoifanya juu ya mataifa waliyoyashinda.

matendo yao na kazi za mikono yao

Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kuwa Yahweh inazungumzia kila kitu ambacho wamefanya kwa mataifa mengine. AT "kila kitu ambacho wamefanya."