sw_tn/jer/25/07.md

16 lines
307 B
Markdown

# hamkunisikiliza
"hamkunitii"
# kuwaleta juu ya nchi hii
Mungu ana mpango wa kutumia Nebukadreza na mikono yake kuwaadhibu Israeli na mataifa ya jirani kwa uasi wao dhidi ya Bwana.
# Angalia
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:17.
# kupiga kelele
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:15