sw_tn/jer/25/07.md

307 B

hamkunisikiliza

"hamkunitii"

kuwaleta juu ya nchi hii

Mungu ana mpango wa kutumia Nebukadreza na mikono yake kuwaadhibu Israeli na mataifa ya jirani kwa uasi wao dhidi ya Bwana.

Angalia

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:17.

kupiga kelele

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:15