sw_tn/jer/25/03.md

348 B

Amoni

(Angalia: tafasili ya majina)

hata leo

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:24.

maneno ya Bwana yamekuja kwangu

"Bwana amenipa maneno yake ili kukuhubiri"

Walikuwa na nia ya kwenda nje

"Walikuwa na shauku ya kushiriki maneno ya Mungu na wewe"

kusikiliza au kutega masikio

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 11:6.