sw_tn/jer/25/03.md

20 lines
348 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amoni
(Angalia: tafasili ya majina)
# hata leo
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:24.
# maneno ya Bwana yamekuja kwangu
"Bwana amenipa maneno yake ili kukuhubiri"
# Walikuwa na nia ya kwenda nje
"Walikuwa na shauku ya kushiriki maneno ya Mungu na wewe"
# kusikiliza au kutega masikio
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 11:6.