forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
511 B
Markdown
16 lines
511 B
Markdown
# Lakini kama vile tini mbaya ambazo ni hazifai kuliwa
|
|
|
|
Maneno haya yanafananisha tini mbaya kwa watu waovu. Tini mbaya ni tini ambazo haziwezi kula na hazifai, watu mbaya hawatamfuata Bwana na pia hawana maana.
|
|
|
|
# Nitawafanya kuwa kitu cha kutisha, wapate maafa
|
|
|
|
Bwana inalinganisha hukumu ya kuja juu ya watu wa Yerusalemu kwa kitu ambacho kitatisha watu wengine wanapoiona.
|
|
|
|
# Nitatuma upanga, njaa, na tauni dhidi yao
|
|
|
|
"Nitawaua kwa vita, njaa na magonjwa."
|
|
|
|
# Nitatuma upanga
|
|
|
|
"Nitawatuma majeshi ya adui"
|