sw_tn/jer/24/08.md

511 B

Lakini kama vile tini mbaya ambazo ni hazifai kuliwa

Maneno haya yanafananisha tini mbaya kwa watu waovu. Tini mbaya ni tini ambazo haziwezi kula na hazifai, watu mbaya hawatamfuata Bwana na pia hawana maana.

Nitawafanya kuwa kitu cha kutisha, wapate maafa

Bwana inalinganisha hukumu ya kuja juu ya watu wa Yerusalemu kwa kitu ambacho kitatisha watu wengine wanapoiona.

Nitatuma upanga, njaa, na tauni dhidi yao

"Nitawaua kwa vita, njaa na magonjwa."

Nitatuma upanga

"Nitawatuma majeshi ya adui"