sw_tn/jer/23/28.md

401 B

e, majani yanahusiana na nafaka?

"Majani na nafaka ni vitu viwili tofauti kabisa."

Na neno langu si kama moto? -Hili ni tamko la Bwana-na kama mwamba wenye kupiga nyundo?

"Maneno yangu ni kama moto unaovuna na wenye nguvu," asema Bwana, "na kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande."

kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande

"kama nguvu kama nyundo ambayo inaweza kuponda mwamba"