# e, majani yanahusiana na nafaka? "Majani na nafaka ni vitu viwili tofauti kabisa." # Na neno langu si kama moto? -Hili ni tamko la Bwana-na kama mwamba wenye kupiga nyundo? "Maneno yangu ni kama moto unaovuna na wenye nguvu," asema Bwana, "na kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande." # kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande "kama nguvu kama nyundo ambayo inaweza kuponda mwamba"