sw_tn/jer/22/17.md

687 B

hakuna kitu katika mmacho na moyo wako

"hakuna kitu katika mawazo yako na hisia"

faida yako

Hii ni kupata pesa kwa kudanganya au kwa kutumia njia zisizofaa.

kumwaga damu isiyo na hatia

"kuua watu wasio na hatia"

kuwafanyia jeuri wengine

"kufanya vurugu kwa wengine ili kupata fedha"

Ole, ndugu yangu! ...... Ole, dada yangu!.....Ole, bwana!....Ole, utukufu!

Bwana hutumia neno "Ole" mara kadhaa kwa msisitizo. Anawaambia watu mbalimbali ambao kwa kawaida wataonyesha huzuni kubwa wakati mtu anapokufa.

Atazikwa maziko ya punda, ataburuzwa mbali na kutupwa nje

"Watauzika mwili wa marehemu kama ambavyo wanaweza kumzika punda aliyekufa; watauburuza na kuutupa nje"