sw_tn/jer/22/17.md

24 lines
687 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hakuna kitu katika mmacho na moyo wako
"hakuna kitu katika mawazo yako na hisia"
# faida yako
Hii ni kupata pesa kwa kudanganya au kwa kutumia njia zisizofaa.
# kumwaga damu isiyo na hatia
"kuua watu wasio na hatia"
# kuwafanyia jeuri wengine
"kufanya vurugu kwa wengine ili kupata fedha"
# Ole, ndugu yangu! ...... Ole, dada yangu!.....Ole, bwana!....Ole, utukufu!
Bwana hutumia neno "Ole" mara kadhaa kwa msisitizo. Anawaambia watu mbalimbali ambao kwa kawaida wataonyesha huzuni kubwa wakati mtu anapokufa.
# Atazikwa maziko ya punda, ataburuzwa mbali na kutupwa nje
"Watauzika mwili wa marehemu kama ambavyo wanaweza kumzika punda aliyekufa; watauburuza na kuutupa nje"