sw_tn/jer/22/15.md

300 B

e, hii ndiyo inakufanya uwe mfalme mzuri, kwamba unataka kuwa na mbao za mwerezi

"Kuwa na nyumba ya mwerezi haifanyi iwe mfalme mzuri"

Je baba yako hakula na kunywa..... haki?

"Mfalme Yosia alifurahia maisha yake ... haki."

Je! Hii sio maana ya kunijua?

"Hii ndiyo maana ya kunijua mimi."