# e, hii ndiyo inakufanya uwe mfalme mzuri, kwamba unataka kuwa na mbao za mwerezi "Kuwa na nyumba ya mwerezi haifanyi iwe mfalme mzuri" # Je baba yako hakula na kunywa..... haki? "Mfalme Yosia alifurahia maisha yake ... haki." # Je! Hii sio maana ya kunijua? "Hii ndiyo maana ya kunijua mimi."