sw_tn/jer/22/10.md

8 lines
222 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Msemaji wa Bwana amebadilishana na kumwambia mfalme wa Yuda na sasa anazungumza na wasikilizaji kwa ujumla.
# kuiona nchi aliyozaliwa tena
"angalia nchi ya Israeli tena" au "kuangalia nchi yake tena"