sw_tn/jer/22/10.md

222 B

Taarifa za jumla

Msemaji wa Bwana amebadilishana na kumwambia mfalme wa Yuda na sasa anazungumza na wasikilizaji kwa ujumla.

kuiona nchi aliyozaliwa tena

"angalia nchi ya Israeli tena" au "kuangalia nchi yake tena"