sw_tn/jer/21/08.md

28 lines
542 B
Markdown

# watu hawa
"watu wa Yerusalemu"
# nitaweka mbele yako njia ya uzima na njia ya mauti.
Bwana anawapa watu wa Yerusalemu uchaguzi ambao utaamua kama wanaishi au kufa.
# kuanguka kwa magoti mbele
"kujisalimisha kwa "
# imefungwa kinyume
"kushambuliwa kutoka pande zote"
# Nimeweka uso wangu kinyume
"Nimekataa kupinga" au "nimegeukia"
# Yeye ataokoka na maisha yake
Yule anayejisalimisha kwa Wababiloni ataokoka na maisha yake, ingawa atapoteza mali zake zote.
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.