# watu hawa "watu wa Yerusalemu" # nitaweka mbele yako njia ya uzima na njia ya mauti. Bwana anawapa watu wa Yerusalemu uchaguzi ambao utaamua kama wanaishi au kufa. # kuanguka kwa magoti mbele "kujisalimisha kwa " # imefungwa kinyume "kushambuliwa kutoka pande zote" # Nimeweka uso wangu kinyume "Nimekataa kupinga" au "nimegeukia" # Yeye ataokoka na maisha yake Yule anayejisalimisha kwa Wababiloni ataokoka na maisha yake, ingawa atapoteza mali zake zote. # hili ni tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.