sw_tn/jer/20/12.md

253 B

ambao wanaona akili na moyo

"ni nani ajuaye watu wanadhani na wanataka"

ameokoa maisha ya wale waliokandamizwa

"aliwaokoa watu waliokandamizwa"

kutoka kwenye mikono ya waovu

Hapa neno mkono linamaanisha nguvu. AT "kutoka kwa nguvu ya waovu"