# ambao wanaona akili na moyo "ni nani ajuaye watu wanadhani na wanataka" # ameokoa maisha ya wale waliokandamizwa "aliwaokoa watu waliokandamizwa" # kutoka kwenye mikono ya waovu Hapa neno mkono linamaanisha nguvu. AT "kutoka kwa nguvu ya waovu"