sw_tn/jer/20/10.md

20 lines
404 B
Markdown

# Lazima tumshitaki
Adui wa Yeremia wanasema maneno haya.
# Labda anaweza kudanganywa.....kujilipiza kisasi kwake
Adui wa Yeremia wanasema maneno haya.
# Labda anaweza kudanganywa
"Pengine tunaweza kumdanganya"
# Bwana yu pamoja nami kama mpiganaji mwenye nguvu
Bwana ni kama shujaa mwenye nguvu ambaye humlinda Yeremia na kuwashinda adui zake.
# hawawezi kusahau kamwe
"watu hawatasahau kamwe"