# Lazima tumshitaki Adui wa Yeremia wanasema maneno haya. # Labda anaweza kudanganywa.....kujilipiza kisasi kwake Adui wa Yeremia wanasema maneno haya. # Labda anaweza kudanganywa "Pengine tunaweza kumdanganya" # Bwana yu pamoja nami kama mpiganaji mwenye nguvu Bwana ni kama shujaa mwenye nguvu ambaye humlinda Yeremia na kuwashinda adui zake. # hawawezi kusahau kamwe "watu hawatasahau kamwe"