forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
809 B
Markdown
32 lines
809 B
Markdown
# uwatie mikononi mwa wale wanaotumia upanga
|
|
|
|
"Upanga" unawakilisha vita. "Kwa sababu ya kufa katika vita"
|
|
|
|
# waache wanawake wao wafiwe na kuwa wajane
|
|
|
|
"waache watoto na waume wa wake zao wafe"
|
|
|
|
# watu wao watauawa, na vijana wao wauawe kwa upanga
|
|
|
|
"watu huua watu wao, na kuwaua vijana wao kwa upanga"
|
|
|
|
# Kelele ya kusikitisha isikiwe
|
|
|
|
"watu husikia sauti ya shida"
|
|
|
|
# Kwa kuwa wamechimba shimo kunikamata na wameficha mitego katika miguu yangu
|
|
|
|
Adui wa Yeremia wanajaribu kumkamata kama mtu angeweza kukamata wanyama wa mwitu. Yeremia anarudia wazo sawa mara mbili kwa msisitizo.
|
|
|
|
# wamechimba shimo
|
|
|
|
Angali jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:18.
|
|
|
|
# Usiondoe dhambi zao mbali nawe
|
|
|
|
Maneno haya inamaanisha kitu kimoja kama maneno ya awali.
|
|
|
|
# waache waangamizwe mbele yako
|
|
|
|
"watu wawaangamizwe mbele yako"
|