sw_tn/jer/18/21.md

809 B

uwatie mikononi mwa wale wanaotumia upanga

"Upanga" unawakilisha vita. "Kwa sababu ya kufa katika vita"

waache wanawake wao wafiwe na kuwa wajane

"waache watoto na waume wa wake zao wafe"

watu wao watauawa, na vijana wao wauawe kwa upanga

"watu huua watu wao, na kuwaua vijana wao kwa upanga"

Kelele ya kusikitisha isikiwe

"watu husikia sauti ya shida"

Kwa kuwa wamechimba shimo kunikamata na wameficha mitego katika miguu yangu

Adui wa Yeremia wanajaribu kumkamata kama mtu angeweza kukamata wanyama wa mwitu. Yeremia anarudia wazo sawa mara mbili kwa msisitizo.

wamechimba shimo

Angali jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:18.

Usiondoe dhambi zao mbali nawe

Maneno haya inamaanisha kitu kimoja kama maneno ya awali.

waache waangamizwe mbele yako

"watu wawaangamizwe mbele yako"