sw_tn/jer/18/09.md

430 B

nitaujenga au kuupanda

Hizi vitenzi viwili kimsingi inamaanisha kitu kimoja na kusisitiza baraka za Mungu.

kuupanda

Kifungu hiki kinalinganisha baraka za Mungu kwa kuuweka kwa makini mmea katika bustani

mabaya machoni pangu

Macho ya Bwana hutaja kwa Yahweh mwenyewe. AT "mambo ambayo nadhani ni mabaya" au "mabaya kulingana na mimi"

kutosikiliza sauti yangu

"wasioti amri zangu" au "wasiozingatia kile nilichosema"