sw_tn/jer/18/09.md

16 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitaujenga au kuupanda
Hizi vitenzi viwili kimsingi inamaanisha kitu kimoja na kusisitiza baraka za Mungu.
# kuupanda
Kifungu hiki kinalinganisha baraka za Mungu kwa kuuweka kwa makini mmea katika bustani
# mabaya machoni pangu
Macho ya Bwana hutaja kwa Yahweh mwenyewe. AT "mambo ambayo nadhani ni mabaya" au "mabaya kulingana na mimi"
# kutosikiliza sauti yangu
"wasioti amri zangu" au "wasiozingatia kile nilichosema"