sw_tn/jer/18/01.md

32 lines
751 B
Markdown

# Hii ndio neno la Bwana ambalo lilikuja
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.
# nyumba ya mfinyanzi
Mfinyanzi ni mtu ambaye hufanya sufuria na vitu vingine muhimu, vidogo kutoka kwenye udongo. AT "semina ya mfinyanzi"
# tazama
Neno "tazama" linatujulisha mtu mpya katika hadithi. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivyo.
# gurudumu la mfinyanzi
Gurudumu la mfinyanzi ni meza ndogo ambayo inazunguka, mtungi hutumia kutengeneza sufuria. AT "kwenye meza yake" au "kutengeneza sufuria"
# kutengeneza
"kutengeneza" au "kuunda"
# iliharibika mkononi mwake
"akaanguka mkononi mwake"
# kwa hiyo alibadili mawazo yake
hivyo alifanya uchaguzi tofauti
# nzuri machoni pake
Macho husimama kwa mfinyanzi mwenyewe. AT "mzuri kwake"