sw_tn/jer/18/01.md

751 B

Hii ndio neno la Bwana ambalo lilikuja

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.

nyumba ya mfinyanzi

Mfinyanzi ni mtu ambaye hufanya sufuria na vitu vingine muhimu, vidogo kutoka kwenye udongo. AT "semina ya mfinyanzi"

tazama

Neno "tazama" linatujulisha mtu mpya katika hadithi. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivyo.

gurudumu la mfinyanzi

Gurudumu la mfinyanzi ni meza ndogo ambayo inazunguka, mtungi hutumia kutengeneza sufuria. AT "kwenye meza yake" au "kutengeneza sufuria"

kutengeneza

"kutengeneza" au "kuunda"

iliharibika mkononi mwake

"akaanguka mkononi mwake"

kwa hiyo alibadili mawazo yake

hivyo alifanya uchaguzi tofauti

nzuri machoni pake

Macho husimama kwa mfinyanzi mwenyewe. AT "mzuri kwake"