sw_tn/jer/17/15.md

684 B

tazama

"Angalia" au "Sikiliza" au "Jihadharini na kile ninachokuambia"

wao wananiambia

Hapa neno "mimi" linamaanisha Yeremia na neno 'wao' kwa adui zake.

Neno la Bwana liko wapi?

Watu wanatumia swali hili kumtukana Yeremia kwa sababu mambo ambayo alisema hakujawahi kutokea. AT "Ambapo ni vitu gani ambavyo Bwana alikuambia utatokea?" au "Mambo ambayo Bwana alikuambia utatokea hayakufanyika."

Hebu lije

"Waache wapate"

mchungaji akufuatae

Bwana alimuita Yeremia kuwaongoza watu, kama mchungaji anavyoongoza kondoo wake.

Sikuitamani

Sikuhitaji

matangazo yaliyotoka midomoni mwangu

"maagizo niliyosema" au "mambo niliyotangaza"

Yalifanyika

"Nimewafanya"