sw_tn/jer/17/12.md

689 B

Mahali pa hekalu letu ni kiti cha enzi

Yeremia anafananisha hekalu na "kiti cha enzi cha utukufu" kwa sababu kuna pale ambapo Bwana anakaa na kutawala.

Mahali pa hekalu letu

Hii inamaanisha Sayuni huko Yerusalemu.

Wote ambao wanakuacha

Hapa neno "wewe" linamaanisha Bwana.

Wale walio katika nchi ambao wanageuka kutoka kwakowatauliwa

"Wewe utawaangamiza wale walio katika nchi ambao hugeuka kutoka kwako"

chemchemi ya maji yaliyo hai

Yeremia anafananisha Bwana na chemchemi ya maji safi. AT "chemchemi ya maji safi, ya maji" au "chanzo cha maisha yote"

Nitaponywa ... Nitaokolewa

"hakika utaniponya ... utakuwa umenipenda"

wimbo wangu wa sifa

"ambaye nitamsifu"