sw_tn/jer/16/12.md

326 B

Tazama

Neno "tazama" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatacho. AT "Kweli"

ukaidi wa moyo wake mbaya

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 11 6.

ambaye anisikiliza

"ambaye anafanya kile ninachomwambia kufanya"

nitawafukuza kutoka nchi hii

"kukufanya uondoke nchi hii"

mchana na usiku

"wakati wote "au" daima "