sw_tn/jer/16/12.md

20 lines
326 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Neno "tazama" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatacho. AT "Kweli"
# ukaidi wa moyo wake mbaya
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 11 6.
# ambaye anisikiliza
"ambaye anafanya kile ninachomwambia kufanya"
# nitawafukuza kutoka nchi hii
"kukufanya uondoke nchi hii"
# mchana na usiku
"wakati wote "au" daima "