sw_tn/jer/15/13.md

526 B

Taarifa za jumla

Katika aya hii, Bwana anasema na taifa la Israeli kama ni mtu mmoja.

utajiri na hazina

Maneno "utajiri" na "hazina" yanamaanisha kitu kimoja na kutaja kitu chochote ambacho watu wanadhani wana thamani.

nyara

vitu ambavyo huiba kutoka mji baada ya kushinda

nchi ambayo huijui

kwa nchi ambayo ni ya ajabu kwako

maana moto utawaka, ukawaka katika ghadhabu yangu juu yako.

Hasira ya Mungu inazungumzwa kama kama ilikuwa moto unaoharibu. AT "Nitawaangamiza kwa sababu nimekasirika sana na wewe"