sw_tn/jer/15/13.md

20 lines
526 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Katika aya hii, Bwana anasema na taifa la Israeli kama ni mtu mmoja.
# utajiri na hazina
Maneno "utajiri" na "hazina" yanamaanisha kitu kimoja na kutaja kitu chochote ambacho watu wanadhani wana thamani.
# nyara
vitu ambavyo huiba kutoka mji baada ya kushinda
# nchi ambayo huijui
kwa nchi ambayo ni ya ajabu kwako
# maana moto utawaka, ukawaka katika ghadhabu yangu juu yako.
Hasira ya Mungu inazungumzwa kama kama ilikuwa moto unaoharibu. AT "Nitawaangamiza kwa sababu nimekasirika sana na wewe"