sw_tn/jer/13/20.md

549 B

Taarifa za jumla

Bwana anaongea na watu wa Yerusalemu.

Inua macho yako

"kuelewa nini kitakachotendeka kwako"

Je, ni kundi gani alilokupa, kundi ambalo lilikuwa zuri sana kwako?

"Watu wote wameondolewa."

Je, unasema nini wakati Mungu anawaweka wale ambao uliwafundisha kuwa marafiki?

"Watu ambao ulifikiri walikuwa marafiki wako watawashinda na kutawala juu yenu."

Je, huu si mwanzo wa maumivu ya utungu ambayo yatakuchukua kama mwanamke aliye katika kuzaa?

Bwana anawaambia kwamba kukamata yao ni mwanzo wa maumivu watakayopitia.