sw_tn/jer/13/20.md

20 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Bwana anaongea na watu wa Yerusalemu.
# Inua macho yako
"kuelewa nini kitakachotendeka kwako"
# Je, ni kundi gani alilokupa, kundi ambalo lilikuwa zuri sana kwako?
"Watu wote wameondolewa."
# Je, unasema nini wakati Mungu anawaweka wale ambao uliwafundisha kuwa marafiki?
"Watu ambao ulifikiri walikuwa marafiki wako watawashinda na kutawala juu yenu."
# Je, huu si mwanzo wa maumivu ya utungu ambayo yatakuchukua kama mwanamke aliye katika kuzaa?
Bwana anawaambia kwamba kukamata yao ni mwanzo wa maumivu watakayopitia.