sw_tn/jer/13/15.md

459 B

Msiwe na kiburi

"Usihisi kuwa wewe ni bora, mwenye busara, au muhimu zaidi kuliko wengine"

huleta giza

"husababisha giza kuja" Giza linaashiria shida kubwa na kukata tamaa. "Yeye huleta shida kubwa"

kabla ya kuifanya miguu yako kuwa na mashaka

"kabla ya kukusababisha mguu wako juu ya kitu fulani huku ukitembea au kukimbia ili uweke"

ataigeuza sehemu kuwa giza nene

"atasababisha sehemu hiyo kuwa nyeusi kabisa" AT "atakufanya uvunjike moyo"