sw_tn/jer/13/15.md

16 lines
459 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Msiwe na kiburi
"Usihisi kuwa wewe ni bora, mwenye busara, au muhimu zaidi kuliko wengine"
# huleta giza
"husababisha giza kuja" Giza linaashiria shida kubwa na kukata tamaa. "Yeye huleta shida kubwa"
# kabla ya kuifanya miguu yako kuwa na mashaka
"kabla ya kukusababisha mguu wako juu ya kitu fulani huku ukitembea au kukimbia ili uweke"
# ataigeuza sehemu kuwa giza nene
"atasababisha sehemu hiyo kuwa nyeusi kabisa" AT "atakufanya uvunjike moyo"