sw_tn/jer/12/16.md

510 B

Taarifa za jumla

Neno la Mungu kuhusu majirani ya Yuda.

Kisha itakuwa ikiwa.... Baali, basi wao

"Hiyo ndiyo itafanyika ... Baali wao" au "Ikiwa ... Baali, basi hii ndiyo itafanyika"

katikati

katikati

basi watajengwa katikati ya watu wangu

"Nitawafanya kuwa tajiri na wataishi kati ya watu wangu"

nitaling'oa taifa hilo. Kwa hakika litang'olewa na kuharibiwa

"Mimi hakika na kabisa kuondolewa na kuharibu taifa hilo"

hili ndilo tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.