sw_tn/jer/12/16.md

24 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Neno la Mungu kuhusu majirani ya Yuda.
# Kisha itakuwa ikiwa.... Baali, basi wao
"Hiyo ndiyo itafanyika ... Baali wao" au "Ikiwa ... Baali, basi hii ndiyo itafanyika"
# katikati
katikati
# basi watajengwa katikati ya watu wangu
"Nitawafanya kuwa tajiri na wataishi kati ya watu wangu"
# nitaling'oa taifa hilo. Kwa hakika litang'olewa na kuharibiwa
"Mimi hakika na kabisa kuondolewa na kuharibu taifa hilo"
# hili ndilo tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.