sw_tn/jer/10/17.md

20 lines
289 B
Markdown

# Kusanya vitu vyako
"Kusanya mali zako"
# Tazama
neno "tazama" limetumika kusisitiza yale yanayofuata
# Ni tayari kuwatupa wakazi wa nchi nje wakati huu
"Nitawafanya watu wanaoishi kwenye nchi kuiacha nchi"
# wakazi wa nchi
"watu wanaoishi katika nchi"
# huzuni
"maumivumakubwa"