# Kusanya vitu vyako "Kusanya mali zako" # Tazama neno "tazama" limetumika kusisitiza yale yanayofuata # Ni tayari kuwatupa wakazi wa nchi nje wakati huu "Nitawafanya watu wanaoishi kwenye nchi kuiacha nchi" # wakazi wa nchi "watu wanaoishi katika nchi" # huzuni "maumivumakubwa"